Tetesi: Ushauri Kuhusu hawa Wanawake

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
6,283
Reaction score
11,253
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume wote), kuchek mtoto mzuri, nikamtania mshkaji wangu "nimwite nikuonyeshe viwango vyangu enzi zangu " akasema huwez, Mwanaume nikajitosa nikaongea na katoto kazuri tukaelewana kukauliza unakaa wapi, kanakaa huko huko nakokaa mimi, nikamwambia nenda unapoenda ukiwa unarud niambie turud wote, bila hiyana mtoto akanishtua, nikarud nae mtaani nikaenda kujibanza nae sehemu tukapiga stori nikakapa nauli kakasepa, Relationship ikawa imeanza ivyo baada ya few weeks mnyamwezi nkajilia vyangu. KWENYE MKANGANYIKO SASA: Mtoto tukawa tunawasiliana kama kawaida, nikasafiri kikazi nikaenda Arusha, wakati nipo kikazi Arusha nikapigiwa simu na mwanamke simfahamu(ana sauti nzuri), anadai tulishawah kukutana na labda nlipoteza namba yake ila kila nkivuta picha sikumbuki , nkamwambia nkirud dar ntakuchek maana nae yupo dar , nlivyorud dar nikamchek, tukapanga kuonana, sasa hapa technique yangu nimwone kwanza yeye kama hafai nimkimbie, nikamleta mpaka mtaani nikamsimamisha sehemu nilivyomwona mtoto chombo nikampeleka home tukapiga piga stori, ila kwa sisi mafundi wa one night stand nikala kitu kitamu, tulivyomaliza akadai hajajua ata nimemlaje eti nimemla kisailensa....na kwakuwa ni katamu nilikatunuku mashine haswa kakaniambia naomba niseme UKWELI! UKWELI WENYEWE SASA: Kumbe kalitumwa na yule mwanamke wa kwanza kanipeleleze kama nampenda kweli sababu yule alikuwa na wanaume wawili mimi na mwingine(uknown)., kakasema ushenz wa rafiki yake wote, si nimeshakakoleza, kakampigia simu mbele yangu na nikasikia, nikakaruhusu katoto kazuri kakaondoka, sasa kalichokosea kalivyosepa, kameshayatibua kalipiga simu kakamwambia ukweli kwamba kananipenda ye aendelee na yule mwingine kenyewe kataendelea na mimi, WAKUU HADI SASA UMETOKEA UGOMVI MKUBWA NA WAMEKUWA MAADUI UNGEKUWA MIMI UNGEFANYAJE ? Ushauri please.....




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kizazi hiki...
Mtu unafanya kazi bado una ulimbukeni wa wanawake!??
Kwahyo wewe hujui cha kufanya hapo au umeleta stor ili wajue kuwa umeanza kugonga tayar??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe piga kazi ugonvi waachie wenyewe

Tafuna mizigo ova
 
Hivi kwani shule zimefungwa jamani, maana tunaletewa story za bwenini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…