Wakuu, kuna mtaalamu mmoja anadai anatoa pochi ya ajabu ambayo kila asubuhi unakuta pochi limejaa mipesa.
Pesa hizo sharti lake ni zitumike siku hiyo hiyo zote, isibaki hata senti. Kesho asubuhi unakuta zingine, yaani daily, ila usipozitumia zote usimlaumu mtu.
Hebu nipeni ushauri, nichukue ama?