ndugu wanajamii.
Ninaomba ushauri, nimeanzisha biashara ambayo haijaanza kufanya kazi. Nilikopa SACCOS nikaanza kujenga eneo la ofisi, na mahitaji mengine yanayohitajika katika kuuza bidhaa ninayotaka kuuza. Sijamaliza maandalizi ya ninachotaka kuuza pesa imekata, je naweza kurejister kampuni nikapata mkopo benki kama kampuni mauzo ya kitu ninachotaka kuuza ni kama 30000 kwa siku. Please advise