Habari Wana JF naomba kuuliza Kama ifuatavyo
1. Kilimo Cha UFUTA mbeya kinalimwa wilaya gani
[Nilikutana na ufuta mwingi Sana wilaya ya Chunya hasahasa kwenye bonde la ufa]
2. Masoko baada ya kuvuna yanapatikanaje hapo wilayani
[Nilikuwa na shughuli zangu za data collection, wakulima walinijibu wanunuzi huwa wanatoka Mbeya mjini wanaenda kununua, Bei sikumbuki]
3. Mtaji wake kuanzia kukodi shamba,kulima na kuvuna mpaka kuuza no kiasi gani
4. Lakini gharama za maisha hapo MKOANI kuanzia mahala pa kuishi,chakula na changamoto za hapo no Nini ili nikija nije nimejianda kwa Kila kitu kinachowezekana
USHAURI wenu ndugu Wana JF ahsante