Nickson Mjuni
Member
- Jul 10, 2016
- 47
- 26
Hizi zote ni mark IINunua crown ni gari nzuri sana, ya heshima pia mark X na crown ni injini aina moja V6 lkn crown Yakibabe zaidi ukubwa wa injini zake ni CC:2490. ......Ulaji wa mafuta mzuri sana achana na maneno ya mitaani. Mm namiliki crown hautajutia MZEE.
Halafu akitaka iwe tamu zaidi aipige sports rims...Chukua mark X new model Uto jutia kua na ndege iyooo
pamoja sana nduguuuNunua crown ni gari nzuri sana, ya heshima pia mark X na crown ni injini aina moja V6 lkn crown Yakibabe zaidi ukubwa wa injini zake ni CC:2490. ......Ulaji wa mafuta mzuri sana achana na maneno ya mitaani. Mm namiliki crown hautajutia MZEE.
Chukua mark X new model Uto jutia kua na ndege iyooo
Halafu akitaka iwe tamu zaidi aipige sports rims...
Hizo za youtube ni verosa vr25 sio hizi za kibongo bongo huku.MASHINE NI VEROSA,CC 2490, ENGINEEN JZX,
INACHANGANYA FASTA
HAISUMBUI
Haina tofauti na CROWN,UKITAKAJUA SIRI YA VEROSSA INGIA YOUTUBE ONA MADEVA MAARUFU DUNIANA WANAVYO ISIFIA,
Verosa ndo mbabe wao, iwe mjin iwe polinMASHINE NI VEROSA,CC 2490, ENGINEEN JZX,
INACHANGANYA FASTA
HAISUMBUI
Haina tofauti na CROWN,UKITAKAJUA SIRI YA VEROSSA INGIA YOUTUBE ONA MADEVA MAARUFU DUNIANA WANAVYO ISIFIA,