Ushauri kuhusu kununua na kuuza hisa

Ushauri kuhusu kununua na kuuza hisa

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Nina fikiria kununua hisa za CRDB au NMB za muda mrefu kama mwaka au zaidi hivi ndio nitaziuza, ningependa kuuliza zina risk sana au hakuna risk kabisa maana kuna jamaa aliniambia za kwake zilipanda mara tatu ndani ya miaka miwili, je ni investment ambayo ni safe na inalipa kiasi hicho kweli?
 
Crdb najua huwa zinapanda ila ununue hisa nying ili hata zisipopanda utalipwa dividend at the end of the yea
 
Crdb najua huwa zinapanda ila ununue hisa nying ili hata zisipopanda utalipwa dividend at the end of the yea
mi nataka niwe nanunua kidogo kidogo kila mwezi, hapo vp?
 
nunua NMB kaka na kama unataka ununue leo na uuze mwakani by January kwa faida then try TBL na hutojutia uamuz wako,nlinunua around June 2013 hisa 200 za TBL kwa 1800 T.Shs per hisa na leo nimeangalia ni zaid ya 8000T.Shs. Per hisa
 
Back
Top Bottom