Nina fikiria kununua hisa za CRDB au NMB za muda mrefu kama mwaka au zaidi hivi ndio nitaziuza, ningependa kuuliza zina risk sana au hakuna risk kabisa maana kuna jamaa aliniambia za kwake zilipanda mara tatu ndani ya miaka miwili, je ni investment ambayo ni safe na inalipa kiasi hicho kweli?