Umejaribu kuomba mkuu ukakosa, au vigezo umeangalia tangazo la mwaka juzi vigezo vikiwa vimepandishwa, jaribu kuomba hivyo hivyo na GPA yako unaweza kupata usiangalie GPA ya hiyo kozi kila mwaka vigezo vinabadilika.Habari!
Nina Diploma in Clinical Medicine, GPA 3.4 ninahitaji kujiendeleza kwa level ya degree lakini sina uhakika wa kusoma full time.
Nilifikiria kusoma Open University Bachelor of food Nutrition and Dietetics lakini vigevo vyao vya kuchaguliwa ni GPA kuanzia 3.5 ambayo sina.
Je, kuna namna gani naweza kufanya niweze kuchaguliwa Open university of Tanzania?
Kuna vyuo gani vizuri vya nje inavyotambulika na TCU vinavyotoa kozi nzuri za afya kwa njia ya masafa?
Kwenye application system haikuruhusu kuendelea kujaza kama GPA ni chini ya 3.5..Umejaribu kuomba mkuu ukakosa, au vigezo umeangalia tangazo la mwaka juzi vigezo vikiwa vimepandishwa, jaribu kuomba hivyo hivyo na GPA yako unaweza kupata usiangalie GPA ya hiyo kozi kila mwaka vigezo vinabadilika.
Na kuhusu Foundation umekidhi vigezo zaid ya GPA 3 so no need ya hiyo course,
Sijui kwa nini iwe course pekee inayodai 3.5. Pole kwa hilo either utafute kozi nyingine ama uende full time. Naona hii ni kwa kozi za afya kote nchini.Kwenye application system haikuruhusu kuendelea kujaza kama GPA ni chini ya 3.5..
hiyo kozi nayotaka pekee ndio ina GPA ya 3.5 kozi nyingine ni GPA ya 3 tu inahitajika.
Habari!
Nina Diploma in Clinical Medicine, GPA 3.4 ninahitaji kujiendeleza kwa level ya degree lakini sina uhakika wa kusoma full time.
Nilifikiria kusoma Open University Bachelor of food Nutrition and Dietetics lakini vigevo vyao vya kuchaguliwa ni GPA kuanzia 3.5 ambayo sina.
Je, kuna namna gani naweza kufanya niweze kuchaguliwa Open university of Tanzania?
Kuna vyuo gani vizuri vya nje inavyotambulika na TCU vinavyotoa kozi nzuri za afya kwa njia ya masafa?
Nawezaje kufanya application kngzKapige foundation course hapo hapo open mwaka mmoja then unaomba bachelor.
Kama utafanikiwa kuingia kwenye website ya Open University chukua namba zao za mawasiliano ili uongee nao vizuri.Nawezaje kufanya application kngz
OkNaomba nitafute kwa text 0624053809 Nina wazo kama lako sijui pa kuanzia
Ipo open university?Hii kozi haikufai ikiwa tayari uni CO hii kozi ya nutrition hamna kitu maafisa lishe wanalipwa kwa TGS na sio TGHS we jichanganye piga OCCUPATIONAL THERAPIST uji kujuta maishani
Ipo open university?