ushauri kuhusu kusomea udaktari nje

eselungwi

Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
97
Reaction score
70
ushauri wenu kaka zangu na dada zangu,mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza nasomea bsc in medical laboratory technology india,kabla ya kuingia hii faculty lengo langu langu lilikuwa kusoma mbbs,sikuapply tcu nlihofia wangenichagua faculty nyingine nje ya medical,A LEVEL nimesoma cbg nimepata div3 na o level nlifaulu pia,mwaka huu nimeapply ukrane nimepata vyuo viwili kusoma mbbs
je kunausumbufu gan nikija kurudi tz baada ya kugraduate ili ufanye kazi tanzania na utambulike inabidi upitie sehemu gan?
 
please ndugu nawish kuapply nje but sijui pa kuanzia naomba msaada wako! kama unaweza niandikie email yako au phone number! please nsaidie ndugu!
 
piga namba 0784554884 muulizie nouel@kihoza he is the ED of the firm which represent some outside medical university and the firm has a track record. Good luck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…