Emanuel Edwin jr New Member Joined Sep 25, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Sep 25, 2019 #1 Hivi inawezekana kuongeza madaraja kwa leseni ya udereva ambayo haijaisha muda wake ,kwa anayefahamu naomba anifahamishe
Hivi inawezekana kuongeza madaraja kwa leseni ya udereva ambayo haijaisha muda wake ,kwa anayefahamu naomba anifahamishe
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Sep 25, 2019 #2 Unamiliki gari gani? Isijekuwa una bodaboda! Emanuel Edwin jr said: Hivi inawezekana kuongeza madaraja kwa leseni ya udereva ambayo haijaisha muda wake ,kwa anayefahamu naomba anifahamishe Click to expand...
Unamiliki gari gani? Isijekuwa una bodaboda! Emanuel Edwin jr said: Hivi inawezekana kuongeza madaraja kwa leseni ya udereva ambayo haijaisha muda wake ,kwa anayefahamu naomba anifahamishe Click to expand...
Emanuel Edwin jr New Member Joined Sep 25, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Sep 25, 2019 Thread starter #3 nilikuwa na gari ndogo kwa sasa nina gari kubwa
Emanuel Edwin jr New Member Joined Sep 25, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Sep 25, 2019 Thread starter #4 Slim5 said: Unamiliki gari gani? Isijekuwa una bodaboda! Click to expand... hapana nilikuwa na gari ndogo lakini kwa sasa ninayo kubwa
Slim5 said: Unamiliki gari gani? Isijekuwa una bodaboda! Click to expand... hapana nilikuwa na gari ndogo lakini kwa sasa ninayo kubwa
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Sep 25, 2019 #5 Gari kubwa ndio ipi!? Unamiliki BASI LA MWENDOKASI ama?