NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,952
- 1,181
UZI UFUNGIWE HAPA.. Umemaliza mkuuALAF Pugu road hana mpinzani kumbuka bure aghali
Vipi kampuni ya *paalako"1. ALAF
2. SUNSHARE
3. TAISHAN
Source: Personal experience!
Bei zao zikoje?Nimetumia kinglion mwaka wa 2 sasa bado bati ziko poa
Naam, kiboko wapo vizuri,Kunamtu alinambia kiboko ni nzuri
Nyumba ya ukubwa huo imetumia bati ngapi?Nimeweka mabati ya Taishan, mwaka wa tatu sasa na sijaona tofauti. Ingawa wataalamu wanakwambia kuwa hakuna bati linalodumu katika rangi ile ile kwa miaka yote. Vitu kama upepo, joto, baridi, jua na mvua huwa vinaathiri rangi ya awali ya bati husika.View attachment 2774203
Miaka mitatu bado boma halijasogea hata kuweka grills tu. Aisee mkuu Komaa kutafuta hela! Miaka mitatu ni mingi mno!Nimeweka mabati ya Taishan, mwaka wa tatu sasa na sijaona tofauti. Ingawa wataalamu wanakwambia kuwa hakuna bati linalodumu katika rangi ile ile kwa miaka yote. Vitu kama upepo, joto, baridi, jua na mvua huwa vinaathiri rangi ya awali ya bati husika.View attachment 2774203