Ubovu wake kwa kawaida ni kwenye nini hasa mkuu?Mini ni gari nzuri sana kwa spec zake. Yani iko juu juu, breki nta, iko very stable (ukidondosha Pajero mini unapewa tuzo ya Nobel [emoji3]).
Tatizo ni kabovu bovu.
Demio pia sikuipenda. Haikimbii sana...
Bora utafute mtu mwenye Vitz kali umvue.
Anataka aonekane 'Unique'.Tafuta Toyota kama unahitaji used za hapa TANZANIA Achana na brand tofauti na Toyota hasa zilizotumika na watanzania...
Vitz, starlet, IST,platz,Carina, corolla,premio,probox na raum haya ndiyo magari yatakufaa na utafurahia thamani ya pesa zako
Toyota brand kwenye hizi baby walker labda starlet turbo kidogo ndo itanibariki mkuu.Tafuta Toyota kama unahitaji used za hapa TANZANIA Achana na brand tofauti na Toyota hasa zilizotumika na watanzania...
Vitz, starlet, IST,platz,Carina, corolla,premio,probox na raum haya ndiyo magari yatakufaa na utafurahia thamani ya pesa zako
Demio ni gari simple kwa road trip na consuption yake ya mafuta iko vizuri, Kuhusu spea azisumbui zipo za kutosha apo ilala na zipo affordable.Baada ya kujichanga changa hapa nimeona nivute chuma. Lakini siyo mpya nataka ninunue mkononi kwa mtu. Nilikua naomba ushauri wa gari zifuatazo kwa maana naona zinauzwa bei ndogo nikatia shaka:
1)Mazda, hapa nazungumzia Demio na Tribute
2)Mitsubishi mini
3)BMW mini Cooper
4)Honda fit
Je, kati ya hizi gari ipi ni nzuri kwa town trip na upatikanaji wa spares zake ukoje?
hizo zote zitakupasua kichwa nambie offer yako nikwambie gar zitazokufaaBaada ya kujichanga changa hapa nimeona nivute chuma. Lakini siyo mpya nataka ninunue mkononi kwa mtu. Nilikua naomba ushauri wa gari zifuatazo kwa maana naona zinauzwa bei ndogo nikatia shaka:
1)Mazda, hapa nazungumzia Demio na Tribute
2)Mitsubishi mini
3)BMW mini Cooper
4)Honda fit
Je, kati ya hizi gari ipi ni nzuri kwa town trip na upatikanaji wa spares zake ukoje?
Ndio maana sijaweka toyota brands mkuu maana hizo ndo ninazoziona zipo nyingi mjini.Siku Tanzania tukiamua kuachana na mambo ya kukariri na kukatishana tamaa, badala ya kutoa ushauri kutokana na inavyohitajika. Tutapiga hatua kubwa sana.
Mkuu tatizo sio brand angalia mfuko wako kwenye spea utaweza kumuduNdio maana sijaweka toyota brands mkuu maana hizo ndo ninazoziona zipo nyingi mjini.
Ata chuga zipo mitaa ya kilombero wanakouzia spea zipo za kutosha na nyingine unaweza zipatia kutokea nairobi ni bei rahisi.Nipo Chuga mkuu sipo DSM
Hahahaha ππ πππΉAnataka aonekane 'Unique'.
Kuna gharama zake