Ushauri kuhusu magari

Mini Cooper kipengele kwenye spea(Bei) ila ni gari nzuri.
2016 nimekatumia sana,Ni kagari kazuri kalikujaga kuzingua clutch plate(Nilikua mkoani huko).Ilibidi niagize Arusha kwa denso(time+gharama),BTW hata denso mwenyewe alikua hana aliagiza Nairobi.

Ni Gari poa lkn uwe kwny miji mikubwa/majiji.
 
Awe makini. Hata Ulaya na Marekani na Ulaya kuna brands zinajulikana kuwa siyo reliable kama nyingine na nyingine lazima uwe na pesa kuzimantain
 
Hamna nzuri. Usizuzuke na bei. Fanya machaguo mengine tena,leta tutakushauri.
 
Hamna nzuri. Usizuzuke na bei. Fanya machaguo mengine tena,leta tutakushauri.
 
Hamna nzuri. Usizuzuke na bei. Fanya machaguo mengine tena,leta tutakushauri.
Gari nzuri kwa wa Tanzania bado haijatengenezwa duniani.
Chukua uliyo ipenda. KITUNZE KIDUMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…