Unataka ushauri kuhusu vinu na motor au biashara yenyewe ya kusaga nafaka?
Kuwa specific tukusaidie,nina miaka 18 katika biashara hii.
Mwenye swali aulize
ahsante kwa kumsaidia...lkn hiyo namba mwenyewe anajua iko hapa na kila mtu anaiona!kwa nn usinge pm kwa anayeitaka!
kwani mkuu hizo business card huwa anapewa kila mtu au unawapatia unaowataka?!hiyo kama ni simu ya ofc saw ila kwa simu binafsi mtizamo wangu ni kuwa haisitahili kutolewa kwa staili hiyo!ni mtizamo wangu tu akohiZamaulid unaishi ulimwengu upi?
Naona wewe hata hujawahi kuwa na business cards na shuguri zako hazihusiki na biashara.
Acheni ku complicate maisha, maana sote tungekuwa na mtazamo kama wakoa nahakika kusingekuwa na visiting/bness cards.
Sijawahi juona biashara yenye usili
Badirika na nenda na wakati.
Vijijini,mjini inaweza kuwa na faida kubwa ikiwa utakoboa na kusaga then u pack sembe.Pumba utauza sana hasa maeneo kama kimara na pote ambapo kuna wafugaji wa zero grazing.Mignon unafanyia wapi hii biashara?