Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,166
- 3,077
Habari wana jamvi,
Nisingependa kuwachosha naomba nijikite kwenye uzi moja kwa mojakama title ilivyojieleza, kwa yeyote mwenye kujua,naomba anijuze yafuatayo kihusu mashine zinazotumika kutengeneza unga unaotokana na ndizi.
-Jinsi zinavyofanya kazi
-Zinakopatikana
-Gharaama zake-
-Namna ambayo zinaweza kufika Tz
Pamoja na hayo pia naomba niwaeleze kidogo jambo lingine pengine pia naweza kupata ushauri wowotesisi ni umoja wa vijana ambao tumemaliza vyuo na wanaomaliza vyuo vikuu, tumekusudia kuunganisha nguvu kwa pamoja ili kukabiliana na changamoto za ajira kwa kujitengenezea ajira na kuajiri watu wengine, hivyo tumeamua kutumia rasili mali tulizonazo kama plan A, tumeshajisajili na tumefanya utafiti wa kutosha kuhusu ndizi na unga wake.
Hapa Tz wapo wachache wanaotengeneza nao wanatengeneza kwa njia za asili pai east africa ni kenya tu ndio wapo watengenezaji wa unga wa hiyo dizaini. Kwa sasa tupo katika hatua za kutafuta wahisani lakini changamoto kubwa tuliyonayo ni kwamba hatujui kiufasaha hayo mambo niliyouliza apo juukama kunasehemu maelezo hayajatosha ni ruksa kuuliza na pia kama mtu una maoni yoyote kwa ajiri ya kutujenga unaruhusiwa.
Pia natanguliza shukrani kwa yeyote mwenye msaada katika hili