Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwa makandarasi walio wengi, hawazitumii sheria na wanasheria kuhusiana na mikataba.
Kwa mujibu wa Standard Conditions of Contract za serikali, wengi hawajui kuwa unaweza kuusimamisha mkataba kama hujalipwa ndani ya siku 28 baada ya malipo kuidhinishwa.
Zikipita siku 28, mkandarasi anatoa 14 day notice kujitoa kwenye mradi na kuondoka site.
(Clause 63.1 (b) attached.
Deni ambalo halijalipwa litabaki kuwa deni linalo subiri nguvu ya sheria.
Tuliyoyaona Dodoma kwa SKOL yanatosha.