kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Utatoboa tu,ongeza juhudi na maarifa,kua na nidhamu na pesa,kama unataka mali utaipata shambani,ukiitaji shamba nicheki ,laki na nusu tu
Liko msataUko wapi.eneo gni shamba linaptikana
Liko msata
Mwekundu,maji yapo karibu ukichimba kisimaUdongo wake uko je?
Maji yanapatikana ? Kama yapo kwa namna gani?
Naunga mkono hojaSikushauri sana kuingia kwenye kilimo unachoota ww...!kilimo kinataka hela..usiwe na hela ya kuunga unga tena na hyo picha uloweka mdogo wangu utaangukia pua..!..
Cha kufanya tafuta hela anza kukusanya mazao uhifadhi! hizo ishu za mapapai ziogope kama baba mkwe wako