real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
nimesoma kwamba unaweza ukapata faida kwa hii foreign exchange arbitages kuna triangular arbitrage na locational arbitrage ambayo unatumia tofauti ya exchange rates kati ya benki tofauti na kupata faida naomba kwa wenye uelewa kuhusu hii biashara wanimbie kuhusu risks zake na potential zake na je kuna uwezekano mtu ukawa na accounti online ukawa unaifanyia online tu? natanguliza shukrani