Habari yako chief,nimesoma kwamba unaweza ukapata faida kwa hii foreign exchange arbitages kuna triangular arbitrage na locational arbitrage ambayo unatumia tofauti ya exchange rates kati ya benki tofauti na kupata faida naomba kwa wenye uelewa kuhusu hii biashara wanimbie kuhusu risks zake na potential zake na je kuna uwezekano mtu ukawa na accounti online ukawa unaifanyia online tu? natanguliza shukrani
Habari yako chief,hii biashara ni nzuri sana
unatakiwa kuwa sharp sana na uwe na perfect information za kila bank na exchange rates zao.
pia unaweza kufanya across stock exchanges, unanunua currency moja inauzwa low and at the same time unauza where its sold high. mfano unanunua dola moja NASDAQ kwa 1680/- Tsh na kuuza 1690/- Tokyo Stock Market, faida utapa.
Unahitaji information sana. wale wenye pesa nyingi ndo wanaenjoy sana,