encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 515
- 405
Mimi ni mfanyabiashara wa dagaa za Mwanza za kukaanga pamoja na samaki kutoka Mwanza, nimeanza biashara hiyo nina mwezi mmoja.
Changamoto kubwa ninayokutana nayo ni gharama kubwa za uendeshaji. Mtaji mdogo na soko la uhakika.
Naomba ushauri wenu namna gani naweza kupanua masoko, kupata mtaji na kupunguza gharama za uendeshaji hasa usafirishaji. kwa sasa natumia njia ya mabasi kufikisha bidhaa huku Dar.
Pia kama kuna mdau anaweza kunisaidia namna gani naweza kupata mkopo kwa kutumia cheti cha usajili cha BRELA nitashukuru sana kwan bado sina leseni ya biashara kwa sababu sina ofisi.
NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI!