encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 515
- 405
Asante sana ndugu yangu kwa kunifanya ufaham wangu upanuke zaid, mimi kwasasa nipo chuon mwaka wa kwanza naingia wa pili... katika short run naweza kusema kwa kias fulan najitahid kutumia weaknesses za competitors wangu kupata advantage, lakin kinachoniumiza kichwa ni long run ambapo najua baadh ya watu wataiga packaging zetu, radha n.kBIASHARA YA DAGAA KWANZA TAMBUA KWAMBA INAFANYWA NA KILA MTU.
Yanii watu wengi wanaifanya hivyo unacho takiwa kufanya ni kuja na mbinu mpya.
Nina uhakika Dagaa zako hazina tofauti na za mwingine na mwingine hivyo lazima ujiulize swali hili.
JE NI KWA NINI WATEJA WA NUNUE KWAKO NA SI KWA WENGINE ILIHALI KUNA UFANANO WA 100%
Sasa fanyoa kazi sababu ya kwa nini wanunue wako.
1. Unaweza jitofautisha na wenzako kwenye packeging ingawa in long run na wenzako wataiga tu.
2. Kuja na ainanyofauti au Radha tofauti.
3. Distribution Chanel mpaya
KWENYE KUPUNGUZA GHARAMA
Fanya vitu vingi wewe mwenyewe, jitoe ufahamu.
2. Tumia familia yako wao wawe kama ndo labour au ndugu na jamaa
3. Kama huwa unakaanga mwenyewe unaweza tafuta product ya kusapoti hiyo kwa gharama.
Yaani mfano unakaanga Mandazi, au unapikaga vitu vingine so vinakuwa vina share cost za Nishati kama mkaa au gesi.
Wengine watakushauri zaidi.
NB: Unaweza tafuta masoko ambayo hayajafikiwa kabisa
asante sana mkuu kwa ushauri ngoja niendelee kufanya kwa kiasiKuna jamaa yangu katapeliwa katika biashara hiyo, Mtaji wa mil 3 umeliwa na mjanja falani. Fanya kwa kiasi mpaka utapokuwa tayari au acha chuo kama inakulipa.
Ili wassiige lazima utumia Techinolojia utakayo wachukua pesa nyingi au muda mwingi ku copy.Asante sana ndugu yangu kwa kunifanya ufaham wangu upanuke zaid, mimi kwasasa nipo chuon mwaka wa kwanza naingia wa pili... katika short run naweza kusema kwa kias fulan najitahid kutumia weaknesses za competitors wangu kupata advantage, lakin kinachoniumiza kichwa ni long run ambapo najua baadh ya watu wataiga packaging zetu, radha n.k
sasa swali ni je, nifanye mambo gan saiz ili nipate uhakika wa faida katika long run?
Mkuu nakuelewaga San katik aha mambo na UA nakufuatilia San kweny thread zako ,,,upo vizur San BT Nina maswql mengi San kuhus wew naiman utaniongezea mawazo +veIli wassiige lazima utumia Techinolojia utakayo wachukua pesa nyingi au muda mwingi ku copy.
Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri, ngoja nifanye utafiti zaid namna gan nitazid kuboresha bidhaa zanguIli wassiige lazima utumia Techinolojia utakayo wachukua pesa nyingi au muda mwingi ku copy.
fuatilia hii thread kuna vingi vya kujifunzaHivi wadau kwa laki nne hapa Dsm unaweza fanya Biashara Gani ukakeep Mtaji na kupata hela ya kula na kuzuga ?