Habari zenu wana jamvi! naomba kujua kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu gari aina ya NISSAN NAVARA Pick up Double Cabin. Hili gari lina mwonekano mzuri sna kwa ujumla linavutia. Napenda kujua kujua kama lina matatizo ya Mechanical faults na ulaji wa mafuta.