Ushauri kuhusu RAV4 old model short chasis

Ushauri kuhusu RAV4 old model short chasis

worms

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
978
Reaction score
911
Heshima zenu wakuu.

Kuna gari aina ya toyota RAV4 short chasis engine 3s 1990cc nataka kumvua mtu.

Naombeni ushauri kuhusu uzuri wake , mapungufu yake na unywaji wake wa mafuta ndugu zangu.

Nawasilisha kwa michango yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini usinunue kubwa ya milango mitano? hicho kigari ni bora utafute vits ya milango mitano maana ukiwapa lift watu mpk wakunje siti kuingia
 
Jiandae kwa hio rav 4 kupata matege,ni ugonjwa wao huo.

3s consumption ni ya kawaida tu kama gari ni nzima 1lt/9km au 1lt/ 10km inategemea na uendeshaji wako pia.

Gari ni roho ya paka na usiulizie mambo ya confortability maana ni kagari flani kagumu.

Service ni za kawaida tu&spare ni nyingi huko sana madukani.
 
Thanks mkuu, shida nyingine ya hii gari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo gari ni jiwe,kupata matege,ni tatizo dogo,linalekebishika kwa gharama ndogo sana,haizidi hata elfu 30.
Mi bado nazichanga nataka nichukue milango 5,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu confortability sahau, na ikiwa na speed kuanzi 120 kama haina mzigo nyepes sana kukutupa/kuhama njia
 
Back
Top Bottom