Hii bei ipo chini kidogo mkuu, milango mitano bei ipo juu zaidiKwa nini usinunue kubwa ya milango mitano? hicho kigari ni bora utafute vits ya milango mitano maana ukiwapa lift watu mpk wakunje siti kuingia
Haya bana ila zinasumbua sana kwenye kupanda siti ya nyuma
Thanks mkuu, shida nyingine ya hii gari?Jiandae kwa hio rav 4 kupata matege,ni ugonjwa wao huo.
3s consumption ni ya kawaida tu kama gari ni nzima 1lt/9km au 1lt/ 10km inategemea na uendeshaji wako pia.
Gari ni roho ya paka na usiulizie mambo ya confortability maana ni kagari flani kagumu.
Service ni za kawaida tu&spare ni nyingi huko sana madukani.
Mpk imeitwa roho ya paka maana yake hainaga magonjwa mengi mkuu,jua hapo umepata usafiri usio na ma pressure mkuu.
Kupanda siti ya nyuma si shida sana kwani haitatokea kila siku mtu kukaa nyumaHaya bana ila zinasumbua sana kwenye kupanda siti ya nyuma
Nashukuru saana mkuu kwa mchango wakoMpk imeitwa roho ya paka maana yake hainaga magonjwa mengi mkuu,jua hapo umepata usafiri usio na ma pressure mkuu.
Pamoja mkuu,enjoy the ride.
Kumbe hujainunua afu bado unabisha?haya bana.Hiyo gari ni jiwe,kupata matege,ni tatizo dogo,linalekebishika kwa gharama ndogo sana,haizidi hata elfu 30.
Mi bado nazichanga nataka nichukue milango 5,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni nzuri zaidi aisee. Sema gharama yake ipo juu zaidi ikanishindaHiyo gari ni jiwe,kupata matege,ni tatizo dogo,linalekebishika kwa gharama ndogo sana,haizidi hata elfu 30.
Mi bado nazichanga nataka nichukue milango 5,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkuu,jamaa anataka tubishane tu.