Bundakisorya
New Member
- Aug 16, 2022
- 3
- 3
Huu ni mradi watu wanatafuna mali za ummaWazo zuri, mkuu. Na kuna njia mbadala ambayo ni nyepesi na rahisi na fanisi zaidi. Ila sasa pesa zitapigwaje, mkuu? Angalia usije ukaingilia miradi ya watu, wenyewe wakakubutua.