Ushauri kuhusu simu ya ukweli....

Ushauri kuhusu simu ya ukweli....

mysteryman

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
1,065
Reaction score
365
Wakuu ninahitaji simu yenye uwezo wa kila kitu yani kama computer...yenye uwezo wa kufungua chatroom za java kama vile chatzone nk, yenye kuweza kufungua na kudownload miziki kutoka youtube nk.....ningependa kupata aina za simu na bei tafadhali.
 
Bila kusahau mambo ya gps na vitu kama mobile spy nk
 
Nunua iPhine 4S, Bei ni kuanzia 1.5M, lakn hautajutia!!!
 
galaxy s¡¡
Galaxy tab
iphone 4s
nokia c7 au nokia n8
sony ericsson xperia
google nexus
motorola razor
htc hd series
 
Wakuu ninahitaji simu yenye uwezo wa kila kitu yani kama computer...yenye uwezo wa kufungua chatroom za java kama vile chatzone nk, yenye kuweza kufungua na kudownload miziki kutoka youtube nk.....ningependa kupata aina za simu na bei tafadhali.

Watu wanaanza kuzitupa simu za mkononi, wewe ndio unatafuta, ulichelewa wapi?
 
Si njia sahihi ya kumsaidia kulingana na hitaji lake!!!
 
Watu wanaanza kuzitupa simu za mkononi, wewe ndio unatafuta, ulichelewa wapi?
nani anaetupa simu', labda nyie mnaotumia kwa kupiga na kupokea',,,,:smash::smash:
huyu mwanamke huyu!
Kila sehemu yeye ni tatizo kasumbua sana kwenye siasa hadi huku sijui anamatatizo gani kwani lazima uchangie pumba zako!
:lol: :lol: :lol: :lol:
Wakuu ninahitaji simu yenye uwezo wa kila kitu yani kama computer...yenye uwezo wa kufungua chatroom za java kama vile chatzone nk, yenye kuweza kufungua na kudownload miziki kutoka youtube nk.....ningependa kupata aina za simu na bei tafadhali.
IPhone 3GS, 4 or 4S mwisho wa matatizo,,,,
 
Watu wanaanza kuzitupa simu za mkononi, wewe ndio unatafuta, ulichelewa wapi?
wasichana na nyie kwenye Science & Technology Forums mnafanya nini, mtulie kwenye udaku/Gossips/Mapenzi forums huku si kwenu mnaleta umbea tu',,,,:tongue: :tongue:
 
Watu wengine jamani! Nway hajui kuwa kuna kitu kinaitwa cloud computing ambacho simu au mobile devices zitaplay part kubwa kuliko computer za kawaida!
 
Back
Top Bottom