kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Habari za asubuhi ndugu na jamaa zangu, Ni asubuhi nyingine nakuja na ombi kwenu. Je ni solar gani au mfumo gan wa solar naweza kuutumia dukan yenye wastan wa taa 2 au 3 zenye mwanga mkali
Nimekuja hapa na ombi hili baada ya kuona watu wengi wenye uhitaji wa jambo hili kuangukia vifaa feki au vifaa ambavyo havina mwanga mzuri.
Mwenye wazo, ushauri, au mapenekezo
Napokea kwa mikono miwili
Asanteni!!!