Ushauri kuhusu Solar Bora

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
375
Reaction score
410
Habari za asubuhi ndugu na jamaa zangu, Ni asubuhi nyingine nakuja na ombi kwenu. Je ni solar gani au mfumo gan wa solar naweza kuutumia dukan yenye wastan wa taa 2 au 3 zenye mwanga mkali

Nimekuja hapa na ombi hili baada ya kuona watu wengi wenye uhitaji wa jambo hili kuangukia vifaa feki au vifaa ambavyo havina mwanga mzuri.

Mwenye wazo, ushauri, au mapenekezo

Napokea kwa mikono miwili

Asanteni!!!
 
Mkuu nicheki pm nikuagizie pm solar ya uhakika hutojuta.
 
Corrections: zinaitwa monocrystalline solar panels na siyo monocistronic solar panels, boss.
Ivi mkuu una uelewa kidogo kuhusu hizi?
Maana naona Bei zao ni kama dollar za marekani 9000 ni expensive sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…