Ushauri kuhusu sony home theatre dz950

Ushauri kuhusu sony home theatre dz950

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Asalaam aleikum. Najivunia jf lakin najivunia zaidi watanzania wana moyo wa kutoa ushauri inapobidi. Mambo ya mind your own bussiness si utamaduni wetu. Nimenufaika mno na ushauri ninaopataga jf.

Leo naomba ushauri wa kitaalam na kimazoea ukitaka kununua home theatre ya sony dz 950.

Je kuna bora zaid kwa uwiano wa bajet ya hii? (Mil 1.15).
Je kuna tofaut kubwa ya uzito/ubora wa mzik kwa za chini yake km dz650 na dz 350?
Je ina changamoto ya wazi?
Je kuhusu bei kuna chimbo la afadhar hapa dar?
Je kuna feki? Og unaitambuaje?

Watu wa tech na wazoefu wa hizi mambo naingojea huruma yenu. Bora kuuliza kabla hujakosea njia (due diligency) Nipunguze kujilaum

IMG-20210217-WA0004.jpg
 
Kwenye kujua og ndo mtihan. Tusaidiane
kwanza angalia inauzwa wapi.
hii kujua ni og ama vipi lazima ukute iko na wenzake LG, samsung au panasonic, kuonyesha kwamba muuzaji sio mnyonge.sio unakuta iko na akina seapiano, ailinag na aboder[emoji23][emoji23]

kingine jitahidi uscan ile barcode ikupe majibu model ya redio nk,

halafu test music sasa, usikie.
 
hakuna tofauti ya msingi zaidi ya urefu wa speaker, zote ni watt 1000.

hiyo 950 ina standing speaker 4,center na bass, na bei ni 1.2ml

hiyo 650 ina standing 2,na 3 fupi, na bass,bei ni 950k

hiyo 350 haina standing speakers zote ni ndogo, na bass, bei ni 750k

Upo sawa ila bei ndo umepanga vibaya. Kimsingi Dz 350, 650 na 950 Technically zote ni sawa. tofauti ipo kwenye Urefu wa spika tuu kama ambavyo umesema.

Kwa ipande wa bei, Dz 650 ni 750k na
 
Asalaam aleikum. Najivunia jf lakin najivunia zaidi watanzania wana moyo wa kutoa ushauri inapobidi. Mambo ya mind your own bussiness si utamaduni wetu. Nimenufaika mno na ushauri ninaopataga jf.

Leo naomba ushauri wa kitaalam na kimazoea ukitaka kununua home theatre ya sony dz 950.

Je kuna bora zaid kwa uwiano wa bajet ya hii? (Mil 1.15).
Je kuna tofaut kubwa ya uzito/ubora wa mzik kwa za chini yake km dz650 na dz 350?
Je ina changamoto ya wazi?
Je kuhusu bei kuna chimbo la afadhar hapa dar?
Je kuna feki? Og unaitambuaje?

Watu wa tech na wazoefu wa hizi mambo naingojea huruma yenu. Bora kuuliza kabla hujakosea njia (due diligency) Nipunguze kujilaum

View attachment 1704626

Acha kujaza sebule, kuna home theatre ndogo na ziko engeneered kuliko hizo kubwa. Eg bosse
 
Upo sawa ila bei ndo umepanga vibaya. Kimsingi Dz 350, 650 na 950 Technically zote ni sawa. tofauti ipo kwenye Urefu wa spika tuu kama ambavyo umesema.

Kwa ipande wa bei, Dz 650 ni 750k na
Ase hata mimi nimeshtuka imekuwaje bei imepaa namna hyo maana nilinunua 2015 haikufika 700k
 
Back
Top Bottom