Ingawa ni gari ya kizamani, lakini kama umeipenda ichukue mkuu.
Nakumbuka kuna jamaa yangu aliwahi kuimiliki na alikua akiweka mafuta lita 10 anatembea kilimita +20-
Pia body ikisukwa vizuri hua zina dumu, na gari hizi zipo juu kidogo.
Zipo za 4x4 na 2x4.
Engine zake zinapatikana na sidhani kama zinazidi 600,000