Ushauri kuhusu Toyota Harrier

Ushauri kuhusu Toyota Harrier

Damianjamii

Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
6
Reaction score
2
Nakaka nunua gari Toyota Harrier 1999 AWD CC 2160. kama kuna mtu alishawahi kulitumia au la naomba ushauri.
 
Nakaka nunua gari Toyota Harrier 1999 AWD CC 2160. kama kuna mtu alishawahi kulitumia au la naomba ushauri.
Engine ya 2160 ni ya zamani. Tafuta harrier yenye engine 2az cc2360 unajifanya wake ni kawaida tu maana ni vvti.
 
Back
Top Bottom