Damianjamii Member Joined Sep 20, 2016 Posts 6 Reaction score 2 Sep 22, 2016 #1 Nakaka nunua gari Toyota Harrier 1999 AWD CC 2160. kama kuna mtu alishawahi kulitumia au la naomba ushauri.
Nakaka nunua gari Toyota Harrier 1999 AWD CC 2160. kama kuna mtu alishawahi kulitumia au la naomba ushauri.
pisces JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 240 Reaction score 61 Sep 24, 2016 #2 Damianjamii said: Nakaka nunua gari Toyota Harrier 1999 AWD CC 2160. kama kuna mtu alishawahi kulitumia au la naomba ushauri. Click to expand... Engine ya 2160 ni ya zamani. Tafuta harrier yenye engine 2az cc2360 unajifanya wake ni kawaida tu maana ni vvti.
Damianjamii said: Nakaka nunua gari Toyota Harrier 1999 AWD CC 2160. kama kuna mtu alishawahi kulitumia au la naomba ushauri. Click to expand... Engine ya 2160 ni ya zamani. Tafuta harrier yenye engine 2az cc2360 unajifanya wake ni kawaida tu maana ni vvti.