Ushauri kuhusu toyota noah na hiace

Ushauri kuhusu toyota noah na hiace

GYNEOCOLOGIST

Senior Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
171
Reaction score
110
Wakuu naomba kupewa ushauri no Gari IPI bora kati yya TOYOTA NOAH NA HIACE ambayo si super roof kkwa biashara ya kubeba abiria
 
Inategemea na abiria unaowalenga. Noah ni semi lakrshari. Hiasi kama huna hakika na abiria na njia. Kama una matumizi zaidi binafsi na kukodi kwenye sherehe noah ni mpango mzima.
 
Hivyo ni vitu viwili tofauti hiace ni kubwa na ngumu nanabeba abiria wengi na hats bei yake iko juu ya Noah.So IPO wazi Hiace ni bora zaidi ya Noah
 
Mbona ni vitu viwili tofauti maana hiace moja unapata noah mbili
 
Hiace na Noah hazifanani.....Hiace iko juu na ina nguvu na ni ngumu .

Noah zina stability problem..na laini
 
Back
Top Bottom