G GYNEOCOLOGIST Senior Member Joined Sep 13, 2016 Posts 171 Reaction score 110 Sep 28, 2016 #1 Wakuu naomba kupewa ushauri no Gari IPI bora kati yya TOYOTA NOAH NA HIACE ambayo si super roof kkwa biashara ya kubeba abiria
Wakuu naomba kupewa ushauri no Gari IPI bora kati yya TOYOTA NOAH NA HIACE ambayo si super roof kkwa biashara ya kubeba abiria
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,896 Sep 28, 2016 #2 Inategemea na abiria unaowalenga. Noah ni semi lakrshari. Hiasi kama huna hakika na abiria na njia. Kama una matumizi zaidi binafsi na kukodi kwenye sherehe noah ni mpango mzima.
Inategemea na abiria unaowalenga. Noah ni semi lakrshari. Hiasi kama huna hakika na abiria na njia. Kama una matumizi zaidi binafsi na kukodi kwenye sherehe noah ni mpango mzima.
dontrice JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 253 Reaction score 156 Sep 28, 2016 #3 Hivyo ni vitu viwili tofauti hiace ni kubwa na ngumu nanabeba abiria wengi na hats bei yake iko juu ya Noah.So IPO wazi Hiace ni bora zaidi ya Noah
Hivyo ni vitu viwili tofauti hiace ni kubwa na ngumu nanabeba abiria wengi na hats bei yake iko juu ya Noah.So IPO wazi Hiace ni bora zaidi ya Noah
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,937 Reaction score 781 Sep 28, 2016 #4 Mbona ni vitu viwili tofauti maana hiace moja unapata noah mbili
bonna JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 855 Reaction score 519 Sep 29, 2016 #5 Hiace na Noah hazifanani.....Hiace iko juu na ina nguvu na ni ngumu . Noah zina stability problem..na laini
Hiace na Noah hazifanani.....Hiace iko juu na ina nguvu na ni ngumu . Noah zina stability problem..na laini
resonanceiduufu Senior Member Joined Jul 29, 2016 Posts 112 Reaction score 62 Sep 29, 2016 #6 Ni sawa unaulizia pikipiki na baiskeli!! Au mkokitenu na troli
samilakadunda JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 1,780 Reaction score 355 Sep 30, 2016 #7 resonanceiduufu said: Ni sawa unaulizia pikipiki na baiskeli!! Au mkokitenu na troli Click to expand... Usha anzaa zarau wewe[emoji23]
resonanceiduufu said: Ni sawa unaulizia pikipiki na baiskeli!! Au mkokitenu na troli Click to expand... Usha anzaa zarau wewe[emoji23]
G GYNEOCOLOGIST Senior Member Joined Sep 13, 2016 Posts 171 Reaction score 110 Oct 14, 2016 Thread starter #8 resonanceiduufu said: Ni sawa unaulizia pikipiki na baiskeli!! Au mkokitenu na troli Click to expand... Duh mfano huu unaakisi hoja iliyopo mbele yetu au ndo mambo ya mizaha
resonanceiduufu said: Ni sawa unaulizia pikipiki na baiskeli!! Au mkokitenu na troli Click to expand... Duh mfano huu unaakisi hoja iliyopo mbele yetu au ndo mambo ya mizaha