Ushauri kuhusu UKIMWI

Ushauri kuhusu UKIMWI

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
110
Wadau mambo vipi? Nilikua naitaji kujua mambo flani kuhusu ukimwi... Nitafurahi kama mtanisaidia kwa mawazo. Maswali yangu ni kama yafuatavyo:

1) je mwanamke anae itaji kufunga uzazi kwa njia ya kuwekewa njiti hua wanapimwa kwanza ukimwi au la?

2)je mtu akienda kupima ukimwi hospital hua hawatoi majibu kwenye kadi (ambayo ni official)? Maana aliepimwa amechaniwa kikaratasi cha box cha dawa iliochanwa ikionesha tarehe ya kurudi.

3)je mwanamke mwenye virusi vya ukimwi hatakiwi kuwekewa njiti kama njia ya uzazi wa mpango.

Natanguliza shukurani za dhati ndugu zangu nitafurahi kama nitapata majibu hayo
 
Back
Top Bottom