Rangooo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2022
- 243
- 408
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujaribu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha.
Miongoni mwa maswali yangu ni je inawezekana kuanza na kuku wa kienyeji ambao tayari wana wiki tano hadi sita (walioanza kukomaa) na kuanza kuwafuga kisasa ( namaanisha kuwapa chakula kisasa zaidi kama kuku wa kisasa na chanjo) na ndani ya wiki nne hadi tano waweze kukua na kuingia sokoni?
Na je kama inawezekana ni hatua zipi zaidi niweze kuchukua?
Na kama haiwezekani ni kwa sababu gani?
Naombeni msaada ndugu zangu