makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Unakuta mtu anatoa harufu ya mdomo isiyovumilika halafu ndio anataka kukusogezea mdomo kila wakati.nlishaachwa baada ya kumwambia yule kaka ukweli tukiongea closer mdomo wake unanuka...kuanzia siku hiyo akauchuna thn taratiibu akaniacha.
acha tu..kibaya zaid mkiwa wapenzi!Unakuta mtu anatoa harufu ya mdomo isiyovumilika halafu ndio anataka kukusogezea mdomo kila wakati.
Nunua mswaki na Colgate umsaidie kusafisha kinywa, pia wakati wa kumgegeda nunua zile big G za kuondoa harufu kunywani sawa? Iwe mwisho kuja na post za aina hii sawa??
ππππnlishaachwa baada ya kumwambia yule kaka ukweli tukiongea closer mdomo wake unanuka...kuanzia siku hiyo akauchuna thn taratiibu akaniacha.
BAD BREATH:Habari wandugu,
Kuna mwanamke analazimisha mahusiano ya mimi na yeye tuwe pamoja na ikibidi nimuone. Ila cha kushangaza napokutana nae kupiga stori mbili tatu yeye anatoka kwenye point ya mazungumzo na kuaanza kutaka tufanye mapenzi. Huwa najitahidi kumkatalia lakini ananibembeleza mpaka mwisho nabidi nimgegede. Kumbuka huyu mwanamke anamtoto na ni single mother.
Nifupishe tu huyu mwanamke ni mrembo lakini tatizo lake tu ni kwamba ananuka mdomo na huwezi hata kula denda nae ile hali yeye wakati wa kuduu mbwebwe nyingi mara ulimi anataka kukuingizia mdomoni yani ni tabu tu kweli napata kinyaa na hata hisia zinapotea wakati nipo nashughulika.
Tatizo la mdomo kumbuka ni nini chanzo?
Ushauri wakuu.