Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Habari zenu wakuu, naomba msaada hapa jinsi ya kufile kwa ajili ya kuomba visit visa.
Mfano: Ikiwa mtu muda huu hana kazi wala biashara yoyote, yaani hayupo vizuri kichumi, ikiwa ina maana hawezi kuuthibitishia ubalozi kupitia taarifa za benki, kwa maana salio la benki ni chini ya millioni 2.
Wakati huo ana sponsor na mtu wa kugharamia safari yake ya kwenda na kurudi nchi, bila kusahau anaetaka kwenda USA nchini Tanzania ana nyumba, ardhi, magari mawili na familia.
Je, hizo asset nilizozitaja hapo juu zinaweza msaidia mtu huyu kupata Visa bila ya kuwa na kipato?
Nawasilisha.
The Icebreaker Kiranga Mcanada Per Diem Kalunya babukijana Dr Matola PhD Bufa
Na wengine wote mnakaribishwa kuchangia