Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
NakubaliUnapata, tengeneza bank statement tu uonyeshe huko unaenda hutaenda kuwa relay kuhudumiwa na serikali.
Unaenda likizo badae utarudi hata km hautarudi.
Ukionyesha cheti cha ndoa bonus wanajua utarudi tu.
Masharti yote hayo wanaweka ili usije kwenda huko ukawa mzigo unakula kodi zao.
Unakubali? Utaishia kula BAN ya miaka 10 na hutakanyaga tena kama MAKONDANakubali
Myahudi bhanaUnakubali? Utaishia kula BAN ya miaka 10 na hutakanyaga tena kama MAKONDA