UngaUnga JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,724 Reaction score 1,464 Feb 20, 2016 #1 Najaribu kufikiria, nimelala na mpwa wangu chumba cha wageni, mama hayupo! Hili la kupumua haraka haraka liko sawa kwake?! au ana shida? Asanteni.
Najaribu kufikiria, nimelala na mpwa wangu chumba cha wageni, mama hayupo! Hili la kupumua haraka haraka liko sawa kwake?! au ana shida? Asanteni.
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 Feb 20, 2016 #2 siyo sawa. inawezekana mapafu hayachukui hewa ya kutosha hivyo kusababisha kupumua fasta fasta ili kufidia. anaweza kuwa na shida mapafuni.
siyo sawa. inawezekana mapafu hayachukui hewa ya kutosha hivyo kusababisha kupumua fasta fasta ili kufidia. anaweza kuwa na shida mapafuni.
M medical doctor Member Joined Jan 17, 2016 Posts 24 Reaction score 23 Feb 20, 2016 #3 Inategemea na hali ya mm tu kama ana emotions,au ni mfanya mazoezi sana heart beat lazima iwe kubwa