Ushauri: Kupumua harakaharaka ni sawa?

UngaUnga

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,724
Reaction score
1,464
Najaribu kufikiria, nimelala na mpwa wangu chumba cha wageni, mama hayupo!

Hili la kupumua haraka haraka liko sawa kwake?! au ana shida?

Asanteni.
 
siyo sawa. inawezekana mapafu hayachukui hewa ya kutosha hivyo kusababisha kupumua fasta fasta ili kufidia. anaweza kuwa na shida mapafuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…