Kuna jirani yetu alijifungua juzi kati hapa. Kwa sababu kila kitu kilienda sawa, aliruhusiwa the same day akatoka hospitalini. Cha Ajabu siku iliyofuata alfajiri, akatapika matapishi yana traces za damu. Tukamplekea hospitali, nesi akatwambia ni normal na ingeisha. Cha ajabu next day (Leo) ametapika tena..Je ni tatizo gani hili. Anatapika mara moja tu na wala tumbo haliumi wala aharishi. Ni mtoto wake wa kwanza.