Ushauri; kuvimba miguu baada ya mimba kutoka

Ushauri; kuvimba miguu baada ya mimba kutoka

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Salaaaam jf baada ya kupata mimba ambayo hatukua tumepanga kwa sasa, tuliamua kufanya utaratibu wa kuiondoa ikiwa na wiki tatu tuu sasa kilichotokea ni huyu dada amevimba miguu na akitembea chini ya kitovu kwa ndani anaskia maumivu ya kama kidonda hivi naombeni ushauri wenu, kwann miguu inavimba? vip kuhusu maumivu ya tumbo pale anapotembea tuu?
 
Salaaaam jf
Baada ya kupata mimba ambayo hatukua tumepanga kwa sasa, tuliamua kufanya utaratibu wa kuiondoa ikiwa na wiki tatu tuu. Sasa kilichotokea ni huyu dada amevimba miguu na akitembea chini ya kitovu kwa ndani anaskia maumivu ya kama kidonda hivi.
Naombeni ushauri wenu, kwann miguu inavimba? Vip kuhusu maumivu ya tumbo pale anapotembea tuu?
Umeniharibia siku! Unavyoelezea utadhani mmefanya jambo zuri. Muwahishe mwenzio hospitali kabla hajapata madhara ya kudumu na msirudie tena.
 
Mlitoa kienyeji nini nendeni hospital ataoza kizazi bure
 
imekula kwenu wazungu wanasema it has eaten to you...
 
Pole sana ndugu na muhurumiwe kwa mlichokifanya

Tafuta hospitali kubwa mpeleke mwenzio na mueleze dr yaliyotokea kabla madhara mengine makubwa ayajajitokeza
 
Back
Top Bottom