Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Umeniharibia siku! Unavyoelezea utadhani mmefanya jambo zuri. Muwahishe mwenzio hospitali kabla hajapata madhara ya kudumu na msirudie tena.Salaaaam jf
Baada ya kupata mimba ambayo hatukua tumepanga kwa sasa, tuliamua kufanya utaratibu wa kuiondoa ikiwa na wiki tatu tuu. Sasa kilichotokea ni huyu dada amevimba miguu na akitembea chini ya kitovu kwa ndani anaskia maumivu ya kama kidonda hivi.
Naombeni ushauri wenu, kwann miguu inavimba? Vip kuhusu maumivu ya tumbo pale anapotembea tuu?