Ushauri: Kuwa wakala wa kusajili line za TTCL na Zantel

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
300
Habarini wadau?

Nahitaji kuwa wakala wa kusajili line za TTCL na Zantel je changamoto zake ni zipi?

Ni vitu gani vya kuzingatia?

Scana ya Zantel ambayo nasikia inaingiliana na Voda naipata kwa shingapi?

Kuna changamoto gani katika kazi hii?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu jilalngu ahmadally naitaji kuwa wakawakusajililain naomba
 
Nakushauri nenda Ofisi za Ttcl au zantel utapata majibu mazuri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…