Ushauri: Kuwe na kikosi maalumu kuhakikisha mifumo ya Tehama haizimwi kifisadi!

Ushauri: Kuwe na kikosi maalumu kuhakikisha mifumo ya Tehama haizimwi kifisadi!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kumekuwa na malalamiko mengi ya mifumo ya tehama serikalini kuzimwa makusudi ili wafanyakazi wezi na viongozi wezi waweze kuiba.

Ushauri wangu ni kuweka kikosi maalumu kuhakikisha mifumo yote inafanya kazi na kama ikizimwa bila sababu au kutoa taarifa kuwekwe sheria maalumu ya uhujumu uchumi kushughulikia hili.

Huu mtindo wa kuzima mifumo sio mzuri na hauna tija kwa taifa. Kila mtu anajua lakini hawasemi kitu wanamsubiri waziri mkuu na Raisi!
 
Back
Top Bottom