Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hello Jf
Leo nimewaza kwa nini tusiwe na vyuo vya kati vingi,na vyuo vikuu vichache?
Sio sasa hivi vyuo yenye hadhi ya chuo kikuu ni vingi na vinatoa incompetent candidates,heshima ya degree imeshuka sana,
Mimi naona vyuo vyenye hadhi ya chuo kikuu viwe vichache,hii italeta big competition kati ya wanafunzi kupata nafasi hizo chache na watakaoingia ni watu smart ndio watuongoze sisi,lol ni kama shule zile za Feza,Marian, Kifungilo wanavyochuja kupata cream ya watoto smart, ndivyo ivyo vyuo vifanye, hadhi ya degree itarudi..lol
Ila leo ningependa kuzungumzia hili la vyuo vya kati, binafsi naona hili ndio solutions kwa ajira kwa vijana. kila mwaka tunatoa wahitimu wengi ambao hawawi productive kwa nchi yetu, ni bora kuwa na strategy ya kuwafanya vijana wa sasa kupata ajira, sijui kwa nini ila nadhani strategically vyuo/colleges zina potential ya kumaliza tatizo la ajira...How?
Kwa kutoa vocational courses pamoja na apprenticeships..system inaitwa 'dual education system ' ni mafunzo darasani na kupata uzoefu kwa kufanya kazi kwenye kampuni inayoshighulika na hayo unayosomea.
Mimi naona dual system in college itatusaidia vijana wengine kujiajiri since ukiwa unamaliza course yako una uzoefu tayari, halafu hata employers watakua na confidence kuwa candidate ana skills/knowledge and other attributes wanazozitaka.
Sio muandishi Mzuri hope tumeelewana