Ushauri Kwa Ally Kiba, Ajibu Mapigo kwa Beat ile ile ya FRESH

Ushauri Kwa Ally Kiba, Ajibu Mapigo kwa Beat ile ile ya FRESH

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Wadau,

Diamond amefanya Remix ya wimbo wa Fid Q wa Fresh kwa kuingiza verse ya rap inayoonekana kamlenga Ally Kiba kutokana na maneno yaliyokuwemo kwenye wimbo huo (usikilize hapa chini). Remix hiyo amemshirikisha Ray Vanny wa kundi lake la WCB. Diamond amefika mbali kwa kutoa mstari mwengine (nje ya remix) akiendelea kumchana Ally kiba kiaina (Kimenuka Diamond amemjibu alikiba kwa kuimba tena..amuita dada sikiliza hapa)

Sasa ushauri wangu kwa Ally Kiba (na Ommy Dimpoz) ni kutumia beat ile ile ya fresh na wao watoe remix ingine kujibu mapigo. kawaida msumari hutokea palepale ulipoingilia, so akimjibu kupitia beat/instrumental hiyo hiyo ya fresh basi itatutafanya hata sie mashabiki tuweze kulinganisha nani ni mtunzi hodari kati yao.

Ni hayo tu
 

Attachments

Sasa ile beat mkuu inafaa sana mtu akitambaa nayo ki-hiphop... sasa je Ali kiba na ommy wanaweza kuchana? kama hawawezi wakijaribu ndo wataharibu kabisaaaaa
 
Sasa ile beat mkuu inafaa sana mtu akitambaa nayo ki-hiphop... sasa je Ali kiba na ommy wanaweza kuchana? kama hawawezi wakijaribu ndo wataharibu kabisaaaaa
Ni kweli usemayo, ila Wataweza tu kaka,
Hata daimond tulimzoea akiimba ki-bongo flava lakini kwenye kwenye ile beat si umeona kachana kimtindo
 
Utamuua kiba maana hana pumzi kwny kubumkubaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa studio kila kitu chawezekana tu, akichoka wanaweka pause tu anapumzika kisha anarudi kuendelea kuingiza michano.
Mradi ni wimbo ambao hatotakiwa a-perform live basi studio watamaliza kila kitu
 
hiyo beat ina nini cha ziada mpaka kila mtu aitumie ,kwanini usiitumie wewe kama unaona inalipa
 
Back
Top Bottom