Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Wadau,
Diamond amefanya Remix ya wimbo wa Fid Q wa Fresh kwa kuingiza verse ya rap inayoonekana kamlenga Ally Kiba kutokana na maneno yaliyokuwemo kwenye wimbo huo (usikilize hapa chini). Remix hiyo amemshirikisha Ray Vanny wa kundi lake la WCB. Diamond amefika mbali kwa kutoa mstari mwengine (nje ya remix) akiendelea kumchana Ally kiba kiaina (Kimenuka Diamond amemjibu alikiba kwa kuimba tena..amuita dada sikiliza hapa)
Sasa ushauri wangu kwa Ally Kiba (na Ommy Dimpoz) ni kutumia beat ile ile ya fresh na wao watoe remix ingine kujibu mapigo. kawaida msumari hutokea palepale ulipoingilia, so akimjibu kupitia beat/instrumental hiyo hiyo ya fresh basi itatutafanya hata sie mashabiki tuweze kulinganisha nani ni mtunzi hodari kati yao.
Ni hayo tu