Ushauri kwa biashara ya ushindani ya kuuza matofali

ceteris1

Member
Joined
Aug 29, 2016
Posts
71
Reaction score
32
Hbari wakuu,

nimekuwa na maawazo ya kuanzisha biashara ya kufyatua matofari na bidhaa nyingine zinazo zalishwa kwa kutumia simenti, nina vifaa vingi vya kufyatulia matofali.

nina fahamu kuwa biashara hii ina wazoefu wengi na wamefanikiwa sana, msaada wa ushauri ambao ninge penda kusaidiwa ni strategies gaani ambazo zitakuwa bora zaidi katika kujenga soko imara ama kuweza kuwa icon flani yenye maafanikio sitaki kuukaaa kwa umaskini wakati nyenzo za kusaka pesa ninazo na sitaki zipatwe kutu. msaada please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…